John Stones wa Everton atangaza
kujiunga na Manchester City

John Stones
Mshambuliaji Wilfried Bony, 27, anajiandaa kuondoka Manchester City, huku Galatasaray wakitoa pauni milioni 3 za kumsajili kwa mkopo (Sun), Leroy Sane, 20 anayesakwa na Manchester City, hajaiambia klabu yake ya Schalke kuwa anataka kuondoka, wakati meneja mpya wa City Pep Guardiola akiwa tayari kutoa pauni milioni 40 kumsajili kiungo huyo Mjerumani (Daily Star).
No comments:
Post a Comment