Wapelelezi Marekani wamhoji aliyemtibu Prince

Wapelelezi katika jimbo la Minnesota nchini Marekani wamemhoji daktari mmoja aliyemtibu nyota wa muziki wa Pop Prince majuma mawili kabla ya kifo chake.
Taarifa ya polisi imefichua kwamba Dkt Michael Schulenberg alimpa dawa mwimbaji huyo aliyekuwa na umri wa miaka 57 siku moja kabla ya kifo chake mwezi uliopita.
No comments:
Post a Comment