Tuesday, May 10, 2016

Polisi wakabiliana na waandamanaji Ufaransa

Polisi nchini Ufaransa wamekabiliana na waandamanaji walioingia barabarani baada ya serikali kulazimisha utekelezaji wa mageuzi katika sheria za wafanyikazi.
Awali baraza la mawaziri lilikubali kutumia madaraka ambayo ni nadra sana kutumiwa kuidhinisha mageuzi hayo bila ya ushauri wa bunge.

No comments:

Post a Comment