Monday, May 9, 2016

Mitandao yamcheka Mgombea urais Marekani Donald Trump kwa kutoitamka vizuri Tanzania.

Mgombea Urais kupitia Republican Marekani Donald Trump anazo headlines nyingine za kushindwa kutamka vizuri neno Tanzania kwenye hotuba yake kuhusu mambo ya nje yaMarekani alipokua akizungumzia ugaidi wa balozi za Marekani Tanzania na Kenyakulipuliwa.
Kibongobongo inawezekana tusingemcheka kwa jinsi alivyoitamka ila kwa wenzetu Marekani na Ulaya naona imekua ishu, vyombo vya habari vimeripoti kuhusu kushindwa huko kuitamka vizuri Tanzania kwenye hotuba yake ya kwanza ya mambo ya nje ambapo watu wamemkejeli na kumcheka, tazama hii video hapa chini…alivyotamka Tanz-eniya


No comments:

Post a Comment